Search

17 results for Lucy Johnbosco :

  1. Namna ya kudhibiti uzito kwa wenye kisukari

    Afya njema ya lishe ni muhimu sana katika kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo kisukari na shinikizo la damu.

  2. Hatari ya kisukari kwa mwanamke

    Ugonjwa wa kisukari unaweza kuleta changamoto nyingi katika maisha ya wanawake wanaoishi na ugonjwa huu, moja ya athari kubwa za kisukari kwa wanawake ni kuendeleza matatizo ya moyo na mishipa ya...

  3. Faida ya tunda hili kwa mwenye kisukari

    Inawezekana ukajiuliza matunda yapi yanafaa kuliwa na mgonjwa wa kisukari.

  4. Tumia tangawizi badala ya chai

    Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umeng’enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi, ili kupata mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula.

  5. Punguza vyakula vya protini kukabili tatizo la figo

    Matumizi ya dawa zenye asili ya chuma au sindano maalumu ya kuongeza chembechembe za damu zinasaidia kufanya tatizo hili lisiwe sugu.

  6. Fahamu matunda yanayo dhibiti kisukari mwilini

    Watu wenye kisukari wanashauriwa kula matunda yenye kiasi kidogo cha sukari. Matunda kama tufaha ni chanzo kizuri cha nyuzi na vitamini C, pera, chungwa ni tajiri katika vitamini C na nyuzi.

  7. Nguvu ya limao kwa afya ya wenye kisukari

    Kwa kuwa limao ina kiasi kingi cha vitamini C, husaidia kutibu na kutuliza matatizo ya muda mrefu kwenye mfumo wa upumuaji.

  8. Faida lukuki ulaji wa tango

    Maji yaliyopo kwenye matango huwa kama fagio linalosafisha uchafu mwilini, ulaji wa mara kwa mara huyeyusha mawe kwenye figo, kushusha kiwango cha uric Acid na kufanya figo kuwa na afya.

  9. Kubali hali yako ya kuumwa kisukari uishi maisha ya furaha

    Mabadiliko ya lishe, kula chakula chenye afya. Punguza ulaji wa sukari na wanga wenye viwango vya juu vya sukari na badala yake jumuisha matunda, mboga, protini na vyakula vyenye nyuzi.

  10. Wenye VVU walivyo hatarini

    Miongoni mwa sababu kubwa inayochangia watu wenye virusi vya Ukimwi (VVU) kuwa wenye hatari ya kupata aina ya pili ya kisukari ni matumizi ya baadhi ya dawa zinazotumika kupunguza makali ya...

Page 1 of 2

Next